UBALOZI WA WASHNGTON, DC WAMUAGA MHE. BALOZI MWANAIDI MAAJAR


Mkuu wa utawala na fedha Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani mama Lily Munanka akiongea machache kumshukuru Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Mwananidi Maajar anayemaliza muda wake kwenye hafla futi iliyoandaliwa na Ubalozi huo maalum ya kumuaga Balozi huyo wakiwemo Maafisa wawili Brigedia Jenerali Maganga na Asia Dachi
Mhe. Maajar akimkaribisha Naibu Balozi wa Umoja wa Mataifa New York, Mhe, Ramadhani Mwinyi
Mkuu wa Utawala na fedha Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani mama Lily Munanka katika picha ya pamoja na Naibu Balozi wa Umoja wa Mataifa New York, Mhe. Ramadhani Muombwa Mwinyi
Mabalozi mbalimbali waliofika kwenye Hafla hiyo


Afisa Mindi Kasiga ndie aliyesherehesha hafla hiyo
Mhe. Mwanaidi Maajar katika picha ya pamoja na Mabalozi waliofika kwenye hafla hiyo
Charles Gray (kulia) Mmarekani anayetangaza Tanzania nchini Marekani na anayefuatilia sera za Mwalimu Nyerere akiongea Jamba na Mabalozi waliofika kwenye hafla hiyi akiwemo mmoja wa wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.
Ujumbe kutoka California katika picha ya pamoja na Balozi
kwa picha zaidi bofya read more

Post a Comment

أحدث أقدم