
Mjumbe wa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba, Dk. Edmund Mvungi (katikati) akizungumza na
Viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (TUCTA) waliofika
katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume Jijini Dar es Salaam jana
(Jumatano, Januari 9, 2013) kuwasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya.
Kulia ni Mjumbe wa Tume, Bi. Maria Kashonda na katikati ni Katibu Mkuu
wa TUCTA, Bw. Nicholus Mgaya.

Katibu Mkuu wa Shirikisho
la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (TUCTA) Bw. Nicholus Mgaya (kushoto)
akizunguma wakati wa mkutano baina yao na Uongozi wa Tume ya Mabadiliko
ya Katiba uliofanyika katika Makao Makuu ya Tume Jijini Dar es Salaam,
ambapo TUCTA iliwasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya. Kulia ni Wajumbe
wa Tume, Dk. Edmund Mvungi na Bi. Maria Kashonda.

Mjumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bi. Maria Kashonda (kulia) akizungumza
na Viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (TUCTA)
waliofika katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume Jijini Dar es Salaam jana
kuwasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya. Kushoto ni Katibu Mkuu wa
TUCTA Bw. Nicholus Mgaya. Katikati ni Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya
Katiba, Dk. Edmund Mvungi.
Post a Comment