TAARIFA
hakuna ukweli wa taarifa zinazosambazwa za KIFO cha mwimbaji mzee
GURUMO, yuko nyumbani anasumbuliwa na moyo na daktari kamwambia
apumzike.
hivi punde zimeibuka nakusambazwa kuwa kiongozi huyu wa msondo ngoma amefariki lakini habari hizo si zakweli wadau
Post a Comment