UKWELI JUU YA UZUSHI WA MZEE GURUMO WA MSONDO



 TAARIFA hakuna ukweli wa taarifa zinazosambazwa za KIFO cha mwimbaji mzee GURUMO, yuko nyumbani anasumbuliwa na moyo na daktari kamwambia apumzike.
 hivi punde zimeibuka nakusambazwa kuwa kiongozi huyu wa msondo ngoma amefariki lakini habari hizo si zakweli wadau

Post a Comment

أحدث أقدم