![]() |
Beverly Sibanda |
![]() |
Girls la Musica |
Makundi mawili mahisimu ya wanenguaji nchini Zimbabwe, hapa namzungumzia
Berverly Sibanda na kundi lake la " Dancing Angels" na mahasimu wao
Girls la musica, wamefunguka juu ya upinzani uliopo baina yao. Katika
mahojiano yao kundi la Girls la Musica limesema kwamba hawatishiwi na
Bev na kundi lake zaidi zaidi wanawaona kama watu wasiokuwa na maadili.
إرسال تعليق