Mwanamitindo aliebuka na taji la Unique model of the year 2012/2013 kutoka katika shindano la Unique model 2012
Catherine masumbigana anatarajiwa kuonekana kwa mara kwanza karika
runway ya lady in Lady baada ya kunyakua taji hilo mwishoni mwa mwaka
jana.
Catherine Masumbigana ndiye atakaekuwa yule mwanamitindo atakaetoka na vazi la LADY IN RED usiku wa tarehe 9 february.
Mipango na mikakati ya mwanamitindo huyu ni kusonga mbele katika tasnia ya mitindo na kuhamasisha tasnia ya mitindo kwa wanamitindo wachanga kukua siku hadi siku katika sanaa.
Post a Comment