
Mkali
wa ‘Usinicheke’ Keisha amesema ameshindwa kuachia video yake mpya
kutokana na mfumo wa matangazo ya televisheni wa digitali kuwaacha nje
mashabiki wengi wa muziki hasa katika jiji la Dar es Salaam.
Akiongea
na E-news ya EATV, Keisha amesema hali hiyo haijamuathiri yeye tu bali
wasanii kibao akiwemo Hemedy Phd ambaye naye anasita kuitoa video yake
Amesema
kulingana na mambo yanavyoenda, anaweza kuiachia hivyo hivyo, ila
wasiwasi wake mkubwa upo kwa wale wenye uwezo wa chini ambao wanapenda
kazi zake.
إرسال تعليق