Waandamana wakidai Heshima yao hata kama wanavaa Nusu Uchi
Hisia0
Kama wanavyoonekana katika picha kundi la watu, wengi wao wakiwa ni
"Machangudoa" wameandamana huko uzunguni wakidai kutoheshimiwa hasa
baada ya wao kuvaa mavazi ya nusu uchi huku wakidai ya kwamba mavazi sia
kigezo cha wao kutoheshimiwa.
إرسال تعليق