Ni warembo, famous, wana cash, wanapush ndiga za hatari na wana kila
sifa za msichana wa kisasa anayejitegemea. Wanajiita Boss ladies!
Zari (Uganda) @Zarithebosslady
Msichana huyu tajiri, mfanyabiashara na mwanamuziki anasifika kwa kuendesha gari zenye gharama kubwa zaidi kuliko msanii yeyote nchi Uganda. Pamoja na kuwa na biashara zingine nyingi, Zari ni mwenyekiti mtendaji (CEO) wa brooklyncitycollege.co.za (chuo cha fani mbalimbali kilichopo Afrika Kusini).
Hudah Monroh (Kenya)@HUDDAHMONROE
Wanamuita Kim Kardashian wa Kenya. Ni msichana mrembo ambaye jina lake halisi ni Alhuddah Njoroge. Mwaka huu amekuwa akitajwa sana na mitandao nchini Kenya kuwa anaweza kuiwakilisha nchi hiyo kwenye shindano la BBA 2013.Ni model mwenye scandal kibao zikiwemo za kupiga picha za utupu.
Jackie Cliff aka diva_bosslady (Tanzania)
Ni model wa Tanzania aliyewahi kuonekana kwenye music videos kadhaa za wasanii wa Bongo zikiwemo She Got a Gwan wa Mangwea na Nataka Kulewa wa Diamond.

The only question is: Can you handle these boss ladies?
إرسال تعليق