WAKURUGENZI WA BANDARI WATIMULIWA KAZI RASMI


 
 Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe (kulia) akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam jana wakati akitangaza maamuzi yaliyofikiwa na Bodi ya Wakurugenzi juu ya shutuma mbalimbali za Viongozi wa Bandari. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu – Wizara ya Uchukuzi , John Mngodo  na katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Mhandisi Omar Chambo

Post a Comment

Previous Post Next Post