Chanzo cha habari hii kimeeleza kuwa,Mr Blue a.k.a Kabaisa ametolewa
vyombo vyake vyote vya ndani na watu wa Shirika la nyumba la Taifa,
baada ya kujilimbikizia vyumba viwili kwa njia ya udanganyifu bila
malipo yoyote. HABARI ZAIDI TUNAENDELEA KUZIFUATILIA HIVYO ENDELEA KUWA
NASI KARIBU.
Post a Comment