TIMU
ya soka ya Yanga inatarajiwa kushuka katika dimba la Taifa jijini Dar
es Salaam siku ya Jumapili ambapo itakwaana na Black Leopard ya Afrika
Kusii.
Katibu Mkuu wa Yanga, Lawrance Mwalusako amesema leo kwamba kikosi cha Yanga kilichokuwa Uturuki baada ya kurejea leo alfajiri wachezaji watapumzika kwa siku mbili kabla ya jumatano kuanza mazoezi
إرسال تعليق