Klabu
bingwa ya Afrika mashariki na kati Dar Young African wameendelea na
mechi za kujifua huko nchini Uturuki kwa leo kucheza na timu ya Emmen FC
ya ligi daraja la kwanza
nchini Uholanzi katika mchezo wa
kirafiki uliofanyika katika viwanja vya Adora football - Berek pembeni
kidogo
ya mji wa Antlaya. Mechi hiyo imeisha hivi punde kwa Yanga kufungwa
mabao 2-0.
|
Post a Comment