ANGALIA PICHA JINSI LULU ALIPOENDA KUMPA POLE WASTARA, HUZUNI YATAWALA

 
MWISHONI mwa wiki iliyopita, msanii Elizabeth Michael “Lulu” alikwenda kumpa pole msanii mwenzake Wastara Juma kwa kufiwa na mumewe, Sajuki…
 
 
 
 
Huzuni ilitawala nyumbani kwa Wastara mara baada ya Lulu kuwasili, lakini hatimaye baada ya muda mrefu wa maongezi nyuso za wasanii hao zikapambwa na tabasamu.Wameandika jamaa wa http://www.saluti5.com

Post a Comment

Previous Post Next Post