Beyonce
alikaa chini na Oprah Winfrey kwa ajili ya sehemu maalum ya Next
Chapter kwenye channel yake OWN. Aliongea juu ya Maisha yake , kuolewa
akiwa na Jay-Z, kuharibika kwa mimba yake heartbreaking na Super Bowl Performance.
Angalia dakika 40 za mazungumzo hayo hapo chIni.
Beyonce - Next Chapter (FULL EPISODE)

إرسال تعليق