Alikuwa ni kati ya washindi wawili katika mashindano
yaliyofanyika mwaka jana ya freestyl yaliyokuwa yanaenda kwa jina la
'Nokiadon'tbreakthebeat'.Kadondosha ngoma yake iliyofanyika kwa Lamar
FishCrab na amesema kuwa yuko katika mazungumzo na Lamar ili afanye kazi
katika lebo hiyo.
[By Anna Pete
Post a Comment