HAWA NI BAADHI YA WALIOJITOKEZA KWENYE SHOW YA TUNDAMAN VALENTINE'S TOUR NDANI YA PIT STOP LONDON "

Moto una waka sasa eee,na wenye macho hawaambiwi ona!!

maumivu yakizidi vaa miwani' MBUTA NANGA"


Shostito nikama kawa yake ,mwanamke kujiamini" yani mambo ndo kama haya moto moto" 


MASHABIKI WAKIJIACHIA KWA NAFASI ZAO "

 
ENJOY WIMBO WA TUNDA MAN UZURI WAKE"..

Msanii wa Bongo Movie Meckyladiva akionyesha support yake.
Warembo NAJU ,RAHMA,SHENAZ NA JESTINA GEORGE
Wakiwa kwenye show. Hi ilikuwa ni Tundaman Valentine's day tour 14/02/2012 ambayo mwaka huu hakieleweki kama atakuja tena London "je ulikuwepo siku hii http://missfbknitwearlyimo.blogspot.com/
 

Post a Comment

أحدث أقدم