HII NDIO TRENI YA KWANZA AFRICA KUCHORWA MICHORO RASMI ILIYOIDHINISHWA

Reli ya bonde la ufa (Rift Valley Railways) ya nchini Kenya imetoa ruhusa kwa kundi la  wasanii wa uchoraji (graffiti artists) kuchora kwa rangi, moja ya treni zao, ambayo itakua ikipita katika moja ya maeneo yaliyoathirikia zaidi wakati wa ghasia baada ya uchaguzi, Kibera, ikiwa na picha zenye kukuza amani

Treni hiyo inasemekana kuwa treni ya kwanza Africa ikiwa na Graffiti rasmi zilizoidhinishwa.
pengine ni muhimu kwa mtoa huduma wa kampuni hiyo ya reliambayo iliathirika sana wakati wa machafuko baada ya uchaguzi baada ya kuwa wahanga wa moja ya vitendo muhimu zaidi ya uasi katika kipindi ambacho tracks zao ziliondolewa na waandamanaji.
Moja kati ya wanasanaa waliokuwepo katika project hiyo ni pamoja na  Bank Slave (ambae anaishi kibera), Swift na Uhuru B na wengineo. Project hiyo iliandaliwa na "Kibera walls for peace", wanasanaa pamoja na muelimishaji Joel Bergner
 

Post a Comment

أحدث أقدم