HIVI NDIVYO SUMA MNAZALETI ALIVYOFUNIKA ZANZIBAR KATIKA UTAMBULISHO WA ASANTE Ft. DANNY JOE, Na SOMA ALICHOANDIKA FB

 
 THNX GOD! upepo na baraka za wazee wa kigoma unavyozidi kuing'alisha nyota ya SUMA MNAZALETI japo ayupo kigoma allstars. Zanzibar jana palikuwa apatoshi wa2 wakakosa pakukaa hadi wakakaa stejini! wengine wakaona bora wakae nje wackilize sauti 2! jionee mwnyewe utambulisho wa ASANTE ft DANNY JOE.... pa 1

Post a Comment

أحدث أقدم