Anaitwa Linda Ikeji blogger
Mnigeria ambae Naija wanamuita #Mchapakazi japo amehusishwa kwenye
kashfa ya kuwa kwenye dini inayomuabudu shetani, ukiachia mbali hiyo
kashfa ni kwamba hili gari alilonunua ni Infinity Fx 35 Suv YA 2011
ambayo thamani yake ni Naira milioni 8 za Nigeria.
Baada ya kutoa uthibitisho wa
ununuzi wa hili gari, blogger maarufu Linda ambae pia ni mfanyabiashara
amesisitiza kila mmoja kujipanga na kujituma kwenye kila anachowaza
kwamba ni msingi wa maisha yake.
إرسال تعليق