JK AWASILI DODOMA TAYARI KUONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa  CCM  Ndugu  Abdulrahman Kinana muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa mjini Dodoma ambapo ataongoza kikao cha Halmashauri kuu ya CCM taifa.
Vijana wa CCM wakimvika skafu Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete muda mfupi baada ya kuwasili mjini Dodoma kongoza kukao cha Halmashauri kuu ya CCM taifa.

Post a Comment

Previous Post Next Post