![]() |
| Eneo la nyavu lililochanwa na shuti la kiungo wa Simba SC, Mwinyi Kazimoto katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya JKT Oljoro, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha jioni ya leo. Timu hizo zilitoka 1-1. |
![]() |
| Beki wa Oljoro, Salim Mbonde akibutua mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba SC, Mrisho Ngassa katika mchezo huo |
![]() |
| Kiungo wa JKT Oljoro, Kalaghe Gunda akiweka mpira kifuani mbele ya kiungo wa Simba, Amri Kiemba. Nyuma na beki Nassor Masoud 'Chollo' |
![]() |
| Wachezaji wa Oljoro wakishangilia bao ,ao |
![]() |
| Beki Salim Mbonde wa Oljoro akiwania mpira, huku akiwa amebanwa na mshambuliaji wa Simba SC, Mrisho Ngassa |
![]() |
| Beki wa Oljoro ameruka juu kuondosha mpira kwenye hatari |
![]() |
| Kocha wa Simba, Mfaransa Patrick Liewig akikuna pua wakati mchezo ukiendelea |
![]() |
| Wachezaji wa Oljoro wakisali kabla ya mechi |
![]() |
| Amri Kiemba akimtoka beki Saleh Iddi wa Oljoro |
![]() |
| Mwinyi Kazimoto akimtoka beki wa Oljoro, Shaibu Nayopa |
![]() |
| Majaliwa Mbaga wa Oljoro, akiupitia mpira miguu mwa Nassor Masoud 'Chollo' |
![]() |
| Haroun Chanongo akivuta kasi kupiga shuti mbele ya beki wa Oljoro, Majaliwa Mbaga |
![]() |
| Edward Christopher aimtoka beki wa Oljoro |
![]() |
| Haroun Chanongo akimgeuza beki wa Oljoro, Saleh Iddi |
![]() |
| Rashid Ismail akigombea mpira na beki wa Oljoro, Salim Mbonde mbele ya kipa Said Lubawa |
![]() |
| Amri Kiemba akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Oljoro, Kalaghe Gunda |
![]() |
| Kiungo Jonas Mkude wa Simba kulia akigombea mpira dhidi ya kiungo wa Oljoro |
![]() |
| Mkude amelimwa kwanja hadi chini |
![]() |
| Beki wa Simba, Paul Ngalema akilia kwa uchungu wa maumivu baada ya kutoka nje kufuatia kuumia kwenye mchezo wa leo Picha Na:- Bin Zubeiry |




















Post a Comment