Kama shabiki wa JayDee Inakuhusu.

Naomba ku share muonekano wa ndani wa CD ya wimbo wangu mpya "JOTO, HASIRA" feat Prof Jay ambao unatoka siku za karibuni...Kama ambavyo huwa tunapiga story kila siku si vibaya tukishauriana pia kwenye hili, Kati ya No.1 hadi no. 4 ipi ndio itumike...

Siku njema na
mapenzi tele kwenu nyote

Post a Comment

Previous Post Next Post