OPERESHENI
ya kuwasaka wezi wa maji Dar es Salaam, juzi imechukua sura mpya baada
ya mkazi wa Tandale Chama, wilayani Kinondoni ambaye ni mwanamke (jina
tunalo), kuvua nguo zote.
Chanzo
cha mwanamke huyo kuvua nguo ni baada ya kuuona msafara wa Mkuu wa Mkoa
huo, Bw. Meck Sadiki na Maofisa wa Shirika la Maji Safi na Maji Taka
(DAWASCO), ambao walimkuta akiuza maji aliyojiunganishia …read more
Source: Majira
Source: Majira
Post a Comment