KAMPUNI YA TRANS AFRICA WATER YAZINDULIWA JIJINI DAR


Meneja Mkuu wa Kampuni ya Grundfus Afrika, Hamp Adams, (kulia) akishukuru kupewa zawadi  wakati hafla ya kutangaza kampuni Trans Afrika Water kuwa wasambazaji wakuu wa bidhaa zao za pampu za maji na usimamizi wa maji taka nchini Tanzania. Kushoto ni Mkurugenzi wa Trans Africa Water,Tony Mwangi.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Grundfus Afrika, Hamp Adams,(kushoto) akikata utepe kuashilia uzinduzi wa  kuitangaza kampuni Trans Afrika Water kuwa wasambazaji wakuu wa bidhaa zao za pampu za maji na usimamizi wa maji taka nchini Tanzania.Kulia ni Mkurugenzi wa Trans Africa Water,Tony Mwangi

Post a Comment

Previous Post Next Post