![]() |
| Mwanamziki Tiwa Savage Akivishwa Pete Na Managaer wake Tee Billz, wawili hao wamekuwa kwenye mapenzi mazito lakini kwa kuficha ficha..! |
![]() |
![]() |
![]() |
| Tee Billz Amemvisha Tiwa Sawage Pete Hiyo ya Uchumba wakati Staa Huyo wa Kike Kutoka Nigeria Akisherekea Siku yake ya Kuzaliwa ambapo taharifa za kuaminika kwamba wawili hao wanampango Kuoana Kabla ya Mwisho wa Mwaka huu...!! |




Post a Comment