NIGERIA - TIWA SAVAGE AVISHWA PETE YA UCHUMBA

Mwanamziki Tiwa Savage Akivishwa Pete Na Managaer wake Tee Billz,
wawili hao wamekuwa kwenye  mapenzi mazito lakini kwa kuficha ficha..!


Tee Billz Amemvisha Tiwa Sawage Pete Hiyo ya Uchumba wakati Staa
Huyo wa Kike Kutoka Nigeria Akisherekea Siku yake ya Kuzaliwa
ambapo taharifa za kuaminika kwamba wawili hao wanampango
Kuoana Kabla ya Mwisho wa Mwaka huu...!!

Post a Comment

أحدث أقدم