Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika
mkutano wa hadhara aliofanya jana jioni mjini Kibondo siku ya mwisho ya
ziara yake wilayani humo ambayo ni sehemu ya sherehe za maadhimisho ya
miaka 36 ya CCM ambazo kilele chake kitafanyika Jumapili hii, kwenye
Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika
mkutano wa hadhara aliofanya leo jioni mjini Kibondo siku ya mwisho ya
ziara yake wilayani humo ambayo ni sehemu ya sherehe za maadhimisho ya
miaka 36 ya CCM ambazo kilele chake kitafanyika Jumapili hii, kwenye
Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma
Wananchi wenye shauku ya kumsikiliza Kinana wakiwa kwenye mkutano huo
Yohana Kabwe kutoka Chadema akipokewa na Kinana kurudi CCM, wakati wa mkutano huo
Mmoja
wa vijana ambao ni wanachama wapya wa CCM waliokabidhiwa kadi na Kinana
kwenye mkutano huo akifurahia kupata kadi hiyo wakati anaondoka jukwaani
baada ya kukabidhiwa
Wanachama
wapya wa CCM wakiwemo wa kutoka Chadema na NCCR Mageuzi, wakila kiapo
baada ya kukabidhiwa kadi na Kinana kwenye mkutano huo. Wanachama 45
walipewa kadi.
Baadhi ya wananchi wakiwa wameamua kwenda kukaa kwenye magogo waweze kumuona vizuri Kinana wakati akihutubia mkutano huo
Kinana akimtuza kijana wa kikundi cha Wize Boyz cha Kibondo kundi hilo lilipotumbuiza kwemnye mkutano huo.
Kinana wa kundi la Kibondo Comedy akionyesha machejo ya sarakasi mbele ya wananchi wakati wa mkutano huo
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akimkabidhi kijana wa kundi la muziki
wa Bongo Fleva, mbuzi ambaye alimnunua kwa sh. 300,000 kwenye mnada
aliofanya kwa ajili kupata fedha za kupeleka shule watoto wa wazazi kumi
wasio na uwezo katika Wilaya ya Kibondo ambao wameshajitokeza. Mbuzi
huyo ametolewa na Mkuu wa wilaya hiyo, Venance Mwamoto.
إرسال تعليق