
Mwigizaji wa
filamu za vichekesho na muziki wa kizazi kipya, Mussa Kitale ‘Kitale’ amesema amempata wa kumrithi Hussein Mkiety ‘Sharomilionea’ katika video
ya wimbo wake mpya ya Hilo Toto ambao Sharomilionea ashiriki kuimba wimbo huo.
Kitale
alisema mchekeshaji huyo kwake ndo atamchukulia kama mrithi wa Sharo katika
kazi zake, pia atakuwemo humo na kushika nafasi ambazo ilibidi awepo sharo.
Alisema
wimbo pia Sharo alihusika kama mwimbaji, jambo ambalo kwake linamfanya
amkumbuke sana kwa wakati mwingine.
إرسال تعليق