Kocha Mkuu wa Cameroon, Jean Paul Akono (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu mchezo wa kesho wa kimataifa dhidi ya Tanzania, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kwenye ukumbi wa mikutano wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), mchana wa leo. Kulia ni Nahodha wa Cameroon, Pierre Wome na kushoto ni Meneja Rogobert Song. Kocha huyo amesema mechi ya kesho itakuwa nzuri na ngumu kwa sababu Tanzania ni timu nzuri. Amesema kwa sasa Afrika hakuna timu ndogo, hivyo haidharau mechi hiyo. |
Kocha Mkuu wa Cameroon, Jean Paul Akono (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu mchezo wa kesho wa kimataifa dhidi ya Tanzania, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kwenye ukumbi wa mikutano wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), mchana wa leo. Kulia ni Nahodha wa Cameroon, Pierre Wome na kushoto ni Meneja Rogobert Song. |
Meneja wa Cameroon, Rigobert Songa akifurajhia jambo na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Jean Paul Akono kulia |
Hapa wanasikiliza maswali ya Waandishi wa Habari |
Post a Comment