WAZEE WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WAJIUNGA NA CHADEMA

Wazee wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wajiunga na CHADEMA . Hapa wawakilishi wa Chama cha Wazee hao wakikabidhiwa kadi na Katibu Mkuu wa Chadema Dr. Willbrod Slaa mapema leo Makao Makuu ya CHADEMA Kinondoni

Post a Comment

Previous Post Next Post