Mahojiano ya kumtafuta naibu jaji mkuu yamefikia ukingoni leo hii .wa
mwisho kuhojiwa na tume hiyo amekuwa Lucy Muthoni ambaye alitakiwa
kuieleza tume hiyo namna atakavyokabiliana na suala la ufisadi katika
idara ya mahakama humu nchini.mwanahabari wetu Victor Wetende amekuwa
akifuatilia mahojiano hayo na sasa anatuarifu zaidi.
إرسال تعليق