MSANII wa filamu Tanzania Jackline Wolper ameandaa filamu mpya
atakayoshirikiana na msanii maarufu Elizabeth Michael ‘Lulu’
itakayokamilika hivi karibuni baada ya msanii huyo kutoka gerezani kwa
dhamana.
Akizungumza na Maisha Wolpa alisema amepata faraja baada ya taaratibu
na sheria kufuatwa na hatimaye Lulu kuweza kupata dhamana hivyo
anatarajia kufanya naye kazi ya filamu mpya itakayo..Read More
Source: Pro-24
Source: Pro-24
Post a Comment