LULU kutoka na filamu ya kwanza na Wolper

elizabeth-michael-lulu-0


MSANII wa filamu Tanzania Jackline Wolper ameandaa filamu mpya atakayoshirikiana na msanii maarufu Elizabeth Michael ‘Lulu’ itakayokamilika hivi karibuni baada ya msanii huyo kutoka gerezani kwa dhamana.

Akizungumza na Maisha Wolpa alisema amepata faraja baada ya taaratibu na sheria kufuatwa na hatimaye Lulu kuweza kupata dhamana hivyo anatarajia kufanya naye kazi ya filamu mpya itakayo..Read More
Source: Pro-24

Post a Comment

أحدث أقدم