Wafanyakazi
wa Kampuni Spanghero, inayosambaza nyama nchini Uingereza wakiandaa
nyama hiyo tayari kwa kupaki katika vifuko kwa kuwauzia wateja wao,
ambapo hivi sasa Kampuni hiyo inaandamwa kwa kudaiwa kuwauzia wateja
wake nyama ya Farasi badala ya nyama ya Ng'ombe. Imeelezwa kuwa wateja
wa kampuni hiyo wamekuwa wakifurahia huduma hiyo wanayoipata kwa bei
nafuu tofauti na awali.

Post a Comment