
Baadhi
ya Maafisa Mazingira wa Majiji Wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya
Makamu wa Rais[pichani hayupo] alipokua anafungua Warsha ya Majiji
kuhusu Kukuza Uelewa wa Kuandaa Tarifa ya Hali ya Mazingira ya Majiji
iliiofanyika kwenye Hotel ya Giraffe Jijini Dar es Salaam.

-Katibu
Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Sazi Salula akifungua Warsha ya
Maafisa Mazingira wa Majiji kuhusu kukuza uelewa wa kuandaa taarifa ya
Hali ya Mazingira kwa Majiji ya Mwanza,Arusha, Mbeya na Tanga. Warsha
hiyo iliyofanyika Giraffe Hotel, Dar es Salaam

Katibu
Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw Sazi Salula akiwa katika Picha ya
Pamoja na Washiriki wa Warsha ya Maafisa wa Mazingira wa Majiji ya
Mwanza,Arusha,Tangana Mbeya Warsha imefanyika kwenye Hotel ya Giraffe
Jijini Dar es Salaam.

DSC338
Katibu Mkuu Ofis ya Makamu wa Rais Sazi Salula akizungumza na
Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Mazingia UNEP Bi Clara Makenya
Mara baada ya Ufunguzi wa Warsha ya Maafisa wa Mazingira waMajiji.[Picha
na Ali Meja] 
Una
taarifa, picha za usafiri wa anga, mazingira, maliasili na utalii?
tutumie kupitia kingkahindi@gmail.com Do you have any news about
aviation services, environmental issues, natural resource and tourism?
please do send it to kingkahindi@gmail.com
Post a Comment