Waziri
wa Ujenzi, Profesa John Magufuli akiongea kwenye mkutano wa ufunguzi wa
bodi ya Usajili ya Wakandarasi (CRB) na bodi ya Usajili ya Wahandisi
(ERB) iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE
Waziri
wa Ujenzi, Profesa John Magufuli akimpa tuzo Mhandisi, Exaud Mushi ya
pongezi baada ya kumaliza muda wake kwenye bodi ya Usajili ya Wahandisi
(ERB) wakati wa uzinduzi wa bodi ya Wakandarasi (CRB) na ERB
iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Waziri
wa Ujenzi, Profesa John Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa bodi ya Usajili
ya Wahandisi (ERB), Consolata Ngimbwa kwenye mkutano wa ufunguzi wa
bodi ya Usajili ya Wakandarasi (CRB) na ERB iliyofanyika jijini Dar es
Salaam jana.
إرسال تعليق