MAN UNITED YASHINDA 2 - 0 DHIDI YA EVERTON, GIGGS NA VAN PERSIE WATUMA SALAMU MADIRD

Gap: Manchester United moved 12 points clear of rivals City at the top of the table
Wachezaji wa Manchester United wakishangilia



KLABU ya Manchester United imeipashia vema misuli Real Madrid na Cristiano Ronaldo wao kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Everton na kuzidi kupaa kileleni mwa Ligi Kuu England kwa pointi 12 zaidi.
Pamoja na Jose Mourinho kuushuhudia mchezo huo, Real Madrid inaonekana haitakuwa na kazi nyepesi mbele ya United ambayo leo ushindi wake umetokana na mabao ya Ryan Giggs na Robin van Persie.

TAKWIMU ZA MECHI

Kikosi Man Utd: De Gea, Da Silva, Vidic, Evans (Smalling 81), Evra, Valencia, Cleverley, Jones (Carrick 56), Giggs, Rooney, Van Persie. 
Benchi: Amos, Anderson, Hernandez, Nani, Welbeck.
Wafungaji: Giggs dk 13, Van Persie dk45.
Kikosi Everton: Howard, Neville, Jagielka, Heitinga, Baines, Mirallas (Naismith 70), Osman, Gibson, Pienaar, Fellaini, Anichebe (Jelavic 57). 
Benchi: Mucha, Oviedo, Hitzlsperger, Stones, Duffy.
Kadi za njano: Mirallas, Fellaini
Mahudhurio: 75,525
Refa: Mark Halsey (Lancashire)

Flying start: Ryan Giggs put Manchester United ahead in the 13th minute
Ryan Giggs akiifungia Manchester United bao la kwanza dakika ya 13
Cruising: Robin van Persie scored yet again to double United's lead
Robin van Persie akifunga la pili

Post a Comment

أحدث أقدم