MIAKA 36 YA CCM, KAZI ZA UJENZI WA TAIFA ZAENDELEA.

Mjumbe wa  Halmashauri Kuu ya CCM Mhe Asha  Abdalla Juma,akizungumza na Wanawake  wa Jumuiya ya Akina Mama wa CCM  UWT katika ujenzi wa Taifa wa Ofisi ya Jumuiya hiyo,ikiwa ni katika maadhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM,ujenzi  huo wa Taifa ulifanyika leo katika Ofisi ya Jimbo la Mpendae CCM.
Mjumbe wa  Halmashauri Kuu ya CCM Mhe Asha  Abdalla Juma (suruali ya kijani) akishirikiana na Wanawake  wa Jumuiya ya Akina Mama wa CCM  UWT katika ujenzi wa Taifa wa Ofisi ya Jumuiya hiyo,ikiwa ni katika maadhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM,ujenzi huo wa Taifa ulifanyika leo katika Ofisi ya Jimbo la Mpendae CCM.

Kazi ya kupokezana ndoo ya udongo ikiendelea.

Post a Comment

أحدث أقدم