MKE WA RAIS, MAMA SALMA KIKWETE KUONGOZA HAFLA YA MONTAGE CHARITY BALL SERENA HOTEL JIJINI DAR.



Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Montage,Teddy Mapunda akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitangaza kufanyika kwa tafrija maalum ya harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia wanawake wenye matatizo ya afya hapa nchini kupitia mfuko wa Montage Charity Ball,itakayofanyika Februari 22 ndani ya Hoteli ya Serena,jijini Dar es Salaam.

Teddy ameeleza kuwa malengo hasa ni kukusanya kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 100 kwa ajili ya kusaidia matibabu ya Wanawake wenye matatizo mbali mbali.Mgeni rasmi katika Tafrija hiyo anatarajiwa kuwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA),Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.


Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Montage,Teddy Mapunda akizungumza katika mkutano huo, wengini ni Mwenyekiti Kamati ya Maandalizi ya Tafrija hiyo, Barbara Hassan (katikati) na kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Montage,Zainab Mkindi.
*********   ****

Montage Charity Ball 2013’ is a special event geared towards raising funds for Women’s health.  This event will be held on the 22nd February 2013 at the Serena Hotel, Marquee grounds from 06:30pm.

Speaking during a press conference today, The Managing Director of Montage Limited – Teddy Mapunda said, ‘we are organizing a party for stakeholders in the corporate world, public officials and embassies in one area, to set the tone, for a good cause, after the beginning of a new year. It will be a night of entertainment, drinks and food. Together we are intending to raise more than 100 million Tanzania shillings towards women health activities.’

The Guest of Honour will be Hon, First Lady of the United Republic of Tanzania -Mama Salma Kikwete. Entertainers lined up for the evening will be Kidumu a Burundi musician based in Kenya, accompanied by Barnaba, Peter Msechu and the Kalunde Band from Tanzania.

Babra Hassan, Chairperson of the organizing committee said, ‘Women’s good health is one of the pillars of a prosperous and growing society, I urge you to come and participate in supporting this event by buying a table at 1200USD for a table of 10 people or by a single ticket for 120USD per person.’

Montage Ltd, organizers of this event, kindly request you all, in support of this noble cause, to either buy a table, sponsor the event either in cash or in kind or buy a ticket for this event. The proceeds from your contributions will go towards health activities in our chosen charity this year i.e WAMA Foundation. 

We look forward to seeing you all there – Karibuni.


Teddy Mapunda
Managing Director

Post a Comment

Previous Post Next Post