Mkurugenzi
Mkuu wa Unesco Irina Bokova akizungumza na Mawaziri wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar katika Hoteli ya Serena ikiwa ni muendelezo wa
Ziara yake ya Siku mbili Zanzibar. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa
UNESCO Afrika Bi. Lalla Aicha Ben Barka na kushoto ni Balozi wa
Tanzania nchini Ufaransa Mh. Begum Taj.
Mkurugenzi
Mkuu wa Unesco Irina Bokova (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa
Mamlaka ya Mji Mkongwe Issa Sariboko (hayupo pichani) akitoa maelezo
kuhusu Maendeleo ya Mji wa Zanzibar.hapo Serena Hoteli. Kushoto ni
Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mh. Begum Taj.
Waziri
wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk (kushoto)
akipokea Zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Unesco Irina Bokova
walipomaliza Mazungumzo katika Hoteli ya Serena ikiwa ni muendelezo wa
Ziara yake ya Siku mbili Zanzibar.
Mkurugenzi
Mkuu wa Unesco Irina Bokova wakwanza kushoto akizungumza na Waandishi
wa Habari mbalimbali katika Hoteli ya Serena ikiwa ni muendelezo wa
Ziara yake ya Siku mbili Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu wa Unesco Irina Bokova
katikati akiwa katika Picha ya pamoja na Mawaziri wa Serikali ya
Zanzibar na Viongozi mbalimbali baada ya kumaliza kwa Mazungumzo yao
katika Hoteli ya Serena ikiwa ni muendelezo wa Ziara yake ya Siku mbili
Zanzibar.(PICHA NA -MAKAME MSHENGA -MAELEZO ZANZIBAR).






Post a Comment