| Makamu
wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitoka kwenye Ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa Arusha ( AICC ) Baada ya kufunga Mkutano wa Mafuta na
Maonyesho wa Afrika Mashariki kwa niaba ya Rais wa Zanzibar Dr. Ali
Mohammed Shein. Kushoto ni Waziri wa
Nishati na Madini wa Tanzania Mh. George Simba Chawene, (Wapili
kulia)Waziri wa Nishari wa Uganda Mh. Irin Muloni na Katibu Mkuu wa
Jumuiya
ya Afrika ya Mashariki Mheshimiwa Jesca Eriyo |
إرسال تعليق