Mon G |
Ally Ramadhan aka MON G
ameifanya ktk mahadhi ya Sweet Reggae (Reggae Version) nyimbo yake ya
'UKO WAPI' aliyomshirikisha DULLAYO, ambapo awali ilikuwa ktk style ya
RnB. Ameitoa hii ikiwa ni kama zawadi kwa mashabiki na wapenzi wa
muziki. Unaweza kuiskiza na ku-download free hapa chini
Kwasasa msanii huyu anaendelea kufanya vizuri ktk vituo mbalimbali vya
redio baada ya kuachia wimbo wake mpya unaoitwa 'NA WEWE', pia yuko
mbioni kuisambaza video ya wimbo huo ambayo tayari ilishakamilika
Post a Comment