Katika Tv show ya Wendy Williams iliyofanyika siku za karibu, Alicia
Keys alisema kwamba mtoto wake wa kiume anayejulikana kama Egypt
alimkiss mtoto wa Beyonce (Blue Ivy) na kusema kwamba watoto hao wawili
kuwa wapenzi inaweza isiwe story ya kweli.
Jay Z hakupendezwa na kitendo hicho “He called my husband and he was
like, ‘Watch your son.’” Alicia Keys alisema. Ukiachana na hayo Alicia
Keys aliendelea kufunguka na kusema mume wake (Swizz Beatz) amejichora
uso wa Alicia Keys kwenye mkono wake.
“This might sound strange, but I think one of my favorite things he ever got me was a tattoo of me (face) on his arm. It’s so beautiful and he mixed it with some of his favorite artists and it’s so pretty”

إرسال تعليق