MWALIMU
mmoja amesimamishwa kazi baada ya picha zake za nusu uchi huku zingine
akionekana anavuta bangi kunaswa kwenye mtandao wa Twitter.
Baadae
Carly alikiri kuwa yeye na rafiki yake walifungua akaunti ya Twitter
lakini akisema ilikuwa ni ya mzaha tu na hakujua kama mwenzake alikuwa
akizitumia picha zake.
Hata hivyo wanafunzi wamemtetea na kusema mwalimu wao hastahili kuadhibiwa kwa kile alichofanya kwenye muda wake wa nje ya kazi.
Mwanafunzi
Shaun alisema: “Ni mwalimu ambaye tofauti ya umri kati yake na miongoni
mwa wanafunzi wakubwa ni miaka mitano au sita, kwahiyo tunafanana na
mambo yake binafsi”
Post a Comment