Binti huyu mwenye umri wa miaka 22 anasema, maisha yake yameharibiwa na
mfumo wa homoni zake za mwili ambapo anaweza kufikia mshindo mara kwa
mara anaposikia sauti za aina fulani. Anasema sauti ya muziki, magari
yanapotembea, treni na hata milio ya simu ni kati ya vitu vinavyomfanya
kufikia hali hiyo mara kwa mara na kusababisha ashindwe kuwa huru katika
maisha yake. Wengi wanaweza wakasema kwamba anapata raha, lakini sio
kweli kwani ugonjwa huu unamtokea sehemu yoyote ambapo haustahili
kumtokea mtu wa kawaida hali ambayo kwa mujibu wake inamsababishia
karaha...Ushauri wako wahitajika Please comment
Nafika Kileleni Mara kwa Mara Naposikia Sauti za Vitu Fulani
Hisia
0
Tags
ENTERTAINMENT
Post a Comment