NITAMTIA MFUKONI VAN PERSIE - SAMBA:

Robin Van Persie
 
BEKI wa QPR Chris Samba ametamba kuwa atamtia mfukoni mshambuliaji wa Manchester United, Robin Van Persie.

Timu hizo mbili zinakutana leo jioni katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza.
Samba, 28, amesema: “Van Persie ni mchezaji mzuri lakini nimejiimarisha na sasa nipo kwenye kiwango kizuri kuliko ilivyokuwa katika mechi ya mwisho dhidi ya Swansea.
“Kwahiyo itakuwa ngumu kwake kunipita”

Post a Comment

Previous Post Next Post