PICHA 3 ZA GARI YA NEY WA MITEGO BAADA YA AJALI MBAYA ALIYO PATA.

 
Rapper Ney wa Mitego Alipata Ajali Hii Maeneo Ya Masaki, Dar es salaam Akiwa Na Gari Yake Aina Ya Alteza. Lori la mchanga Limegonga Gari Yake Kwa Nyuma Na Dereva Wa Lori Hilo Amekimbia. Pia Chanzo Cha Habari Hizi Kinasema Ney Hajaumia Ila Amepata Mshtuko Tu.


Picha Kutoka Bongo5.com

Post a Comment

أحدث أقدم