Timu iliyodhibiti moto ikiendelea kuzima kabisa moto huo |
Pichani askari wa kikosi cha uokoaji cha zimamoto wakiingia kwenye chumba chenye mitambo inayoungua kilichopo sehemu ya juu ya ghorofa hiyo kwa zamu kutokana na kuwepo kwa moshi mzito. |
Baadhi ya mashuhuda wakiwa nje ya jengo hilo sehemu ya chini ya ghorofa huku shughuli za uzimaji zikiendelea juu ya ghorofa. |
Kama kawaida ya matukio mengi yanayotokea jijini Dar es Salaam mashuhuda hawakosi kama unavyoona pichani huku kila mmoja akitaka kushuhudia kinachoendelea. |
Kikosi cha zimamoto kikijipanga eneo la nje ya sehemu ya juu ya ghorofa hilo na kuingia kwa zamu sehemu iliyokuwa ikiteketea. |
إرسال تعليق