PICHA:- VITA KATI YA MGAMBO NA VIJANA WA MITAANI


VULUGU kubwa imezuka leo asubuhi mtaa wa Makongoro uliopo katikati ya mji wa Morogoro kati ya mgambo wa Manispaa na vijana wamitaani[Machokolaa] wanaofanya kazi ya kuosha magari yanayoegeshwa kwenye mtaa huo wenye maduka mengi ya watanzania wenye asili ya kiasia[Wahindi].

Post a Comment

Previous Post Next Post